Safari njema, Timu ya Tanzania! ๐น๐ฟ
Timu yetu ya Tanzania inaelekea katika mbio za Nagai City Marathon nchini Japan, ikiwa imejiandaa vyema kukabiliana na mbio hizo. Baada ya mazoezi ya muda mrefu, nidhamu na juhudi kubwa, wako tayari kukimbia kwa fahari, nguvu na kujiamini.
Tunawatakia kila la heri. Tuko pamoja nanyi hadi mstari wa mwisho! ๐