Wanariadha wa Tanzania Wang’ara katika mbio za Nagai city marathon nchini Japan.
Kwa upande wa mbio za 42:195km Wanaume Michael Kishiba alishika nafasi ya kwanza na kubeba medali ya Dhahabu
mshindi wa pili Charles Boay medali ya fedha
Kwa upande wa wanawake Vaileth Kidas alishika nafasi ya kwanza medali ya Dhahabu
Mbio za Km21 Kwa upande wa wanaume
Fabian Sulle alishika nafasi ya kwanza medali ya Dhahabu
Joseph Panga alishika nafasi ya Pili medali ya fedha
21km Wanawake
Agnes Protas alishika nafasi ya kwanza medali ya Dhahabu
Viva Athletics Tanzania 🇹🇿