Siku 56 zimesalia hadi Mashindano ya Taifa ya Riadha yaanze! π’πββοΈπββοΈ
Wanariadha, anza maandalizi. Mashabiki na wadau, mjipange kwa sherehe za riadha.
Je, unatazamia kushinda? Au unamtegemea nani? Andika maoni yako!
#info@riadha.tz #NationalAthletics #Siku56