Shirikisho la Riadha Tanzania linawapa pongezi kwa John Wele kwa kushika nafasi ya pili nakukimbia muda wa saa moja dakika tatu na sekunde arobaini na tatu 01:03:43 na Boah Dawii kwa kushika nafasi ya sita kwa kushika nafasi ya sita na kukimbia muda wa saa moja na dakika nne na sekunde hamsini na nne 01:04:54 karika mbio za kimataifa za Meia Maratona Internacional da Paz (Peace half marathon) Nchini Angola